22.11.13

Thursday, November 21, 2013

(New Audio) Biggie Boss ft. Saigo & Mchizi Mox - Machale Yamenicheza

Mambo Vp Wadau...Pateni ujumbe huu unaoitwa "MACHALE YAMENICHEZA"..Hii ngoma ni ya Biggie Boss akiwa amewashirikisha Saigon kutoka Diplomats na Mchizi Mox kutoka Wateule..Ngoma hii ni Inspiration kutokana na majanga yaliyotukuta kwa mfulizo mwaka huu katika mziki wetu wa hiphop bongo..Ujumbe mkubwa ni kwamba "hakuna maisha mengine zaidi ya haya kwa hapa duiniani kwahiyo tujitahidi kuishi kwa kuyajali maisha yetu hasa upande wa vilevi haramu"...Pamoja sana na tunaomba support yenu kusambaza ujumbe huu...

SONG: MACHALE YAMENICHEZA
ARTIST: BIGGIE BOSS FT. SAIGON & MCHIZI MOX

No comments: