22.11.13

Wednesday, February 15, 2012

WASANII KUWENI MAKINI NA PROMOTA HUYU TAPELI.

NAOMBA WASANII KUWENI MAKINI NA JAMAA HUYU KWA JINA ANAITWA SUNDAY  AU ITTINIZZI KUZITALA AU JINA LA KAMPUNI YAKE FEKI INAITWA4X-ENTERTAINMENT EVENT,YUPO AMSTERDAM HOLLAND KAZI YAKE ANAINGIA MIKATABA NA WASANII ALAFU MWISHO WA SHOO HAKULIPI ATA SHILINGI NA ANAKUKIMBIA NA ANAKUZIMIA SIMU, TABIA HII IMEKUWA AKIENDELEZA KWA KUWAFANYIA WASANII KADHAA.UYU JAMAA ALIENDA KIMASOMO PALE HOLLAND NA KWA SASA MASOMO YAMEMSHINDA HATIMAE KUWA TAPELI MKUBWA.NAWAOMBA WASANII AMBAO HAMJAJA EUROPE MSIKUBALI KUFANYA MIKATABA NA UYU JAMAA NIMEANDIKA MAJINA YAKE YOTE ILI ATA AKIBADILISHA MUMJUE NA PICHA HIYO NIMEWEKA AONEKANE KWA SURA.WATU WA BLOG MBALIMBALI NAOMBA MUTOE TAARIFA HII KWA KUWASAIDIA WASANII WETU WASIJEKUKUTANANAYO YALIOWAKUTA.MDAU HUSIKA AMSTERDAM HOLLAND

10 comments:

Anonymous said...

Huyu jamaa sio tapeli bali kuna kikudi au makundi yanayopiga vita kiasi ambacho upita kila eneo la holland na kutumia mitandao mbali kuwashawiishi watanzania na wapenzi wote miziki ya kibongo wasiudhurie maonyesho anayo andaa bwana sunday na asilimia 90 wamefanikiwA ktk maonyesho mawili ya mzee yussuf na matonya kiasi ambacho hata euro Mia tano ktk maonyesho yote hayo mawili hazikupatikana. Sasa ingekuwa hata wewe bwana choka ungewAlipa nini hao wasanii? Kwa uhakika zaidi waulize mzee yussuf na matonya Kama maonyesho Yao yalikuwa na watu. Wako mdau. Holland

Anonymous said...

Tunashukuru sana kwa ujumbe huu

Anonymous said...

HUYU JAMAA KAINGILIA KAZI YA UPROMOTA KWA FUJO SASA CHA MOTO ATAKIONA.TAARIFA ZAKE ZIPO KWA WATU WENGI ALIOWALIZA AMBAYE HAMJUI ATAONA NI JAMAA POA LAKINI HAFAI ANAKAULI NZURI ILA NI BONGE LA TAPELI.CHONDE CHONDE MAPROMOTA WENGINE NA HII YA MATONYA NDO IWE SHO YAKE YA MWISHO.WASANII MSIJEINGIA MKENGE NA HUYU JAMAA HATARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII BALAAAAAAAAAA.
BORA MUMEMTOA NA PICHA WATU WAMSHUHUDIE.ALIMZURU CHARLES GADI KWA KUZUNGUKA SHOW YA MZEE YUSUFU NA AKASABABISHA WENGINE WAPATE MATATIZO.LOL KAKA ACHA TAMAA UNATAFUTA UMAARUFU KWA NGUVU NOMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.TENA NAKUOMBA CHOKA KILA WIKI UIWEKE HII LINK YAKE ILI WATU WAENDEEE KUMTAMBUA

Anonymous said...

ACHENI ROHO MBAYA NYIE WATU WA HUKO HOLLND LAZIMA MKAE MNASHIRIKIANA KWAZI LAZIMA KAZI ZOTE ZIFANYWE NA KINA CHARLES PEKEE, HIZO NI ROHO MBAYA KAMA MMEKWISHA SHINDWA NA MAISHA WAPENI WENGINE NAFASI SIO KUPIGANA VITA KAMA WABURUNDI NA WANYARWANDA SISI WATANZANIA SIO VITA .JAMAA KAJA KUTAFUTA KAMA WENGINE SASA KWA NINI AHARIBIWE JINA? ROHO MBAYA TUPU HATA AIBU HAMNA WASHENZI WAKUBWA ,. HATA SISI TUNAWEZA TUKAWAHARIBIA VILEVILE .
HAYA MUHARIBIENI NINYI MKAJENGE TEMEKE NYUJMBA ZA USHENZINI

Anonymous said...

Ahsante kwa ujumbe kaka!

Anonymous said...

Jamani jamani hizi blog zikitumika vibaya kuna siku mtu atajuta,hivi kama huyu sunday hajatapeli mtu na akaamua kwenda mahakamani kwa kuchafuliwa jina na biashara zake Choka utatoka?

Anonymous said...

Kuna beef linaendelea Holland kati huyu bwana na jamaa wengine au mwengine.the so called Promotion war' kila kazi inawatu wake bwana wengine wamevamia kazi za watu.na kuziingilia , Huyu jamaa sio tapeli ila yuko ktk wakati mgumu. mdau
holla.ndio
hii. karibu Sunday! Lol

Anonymous said...

MIMI NI SONIE SISHIKIKI .... HUYU ITTINIZ NI MWIZI NA CONMAN !!! NILIAMBIWA NA WATU BUT SIKUWAAMINI NILIDHANIA WANAMWONEA ,,,, LEO NAJUTA MWENYEWE NAMDAIDAI MAMIA YA EUROS ...

NIMUONGO SANA .. NA CHAMA CHAKE CHA 4 EX NI FAKE ALINIULIZA WATU WAKINIULIZA NISEME MIMI NDIO SECRETARY WA 4 EX-ENTERTAINMENTS WATU WAKIULIZA !! MIMI SISEMI UONGO SO NIKAIKATAA HIO KAZI CHAFU!!!!

ALINIAMBIA NIM-JOIN TUFANYE KAZI HIO YA PROMOTER-CONMAN NIKAKATAA ... ALINITUMIA SMS JUZI KUA AMEKUBALI ANANIDAI BUT HELA SIONI !! SOON NAZIENDEA PESA ZANGU , JASHO YANGU ....MTAYASKIA!!!!!!!!!

Anonymous said...

Yaani hata hizo comment zinaonyesha wazi Sunday anapigwa vita nasio Siri choka wabongo wa holland ni zaidi ya nyoka wanakuchekea lkn ni wabaya sana hata ukiamua kuuza samaki hapa holland ujue wabongo wenzio ndio watakupiga vita na wako tayari wakanunue samaki wa mnaigeria kuliko wako sababu usitajirike kupitie migongo Yao sasa huyo mnaigeria atakusaidia nini? Wabongo wa holland jirekebisheni. Wako mdau. uk

Anonymous said...

nyinyi viwatu mnashangaza sana manadai yenu mengine mnayo sema kuwa mnadai pesa yanahusiana na mambo ya unyumba wenu(ngono]halafu mnawababaisha watu kwenye media kwenda zako kule wapelekee redlight uchafu wako huo.